Makapuku Forum

1953 - Zico anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil.

Kiungo mchezeshaji ambaye hakuwahi kucheza soka la kulipwa ulaya.

Anajulikana kama " Pele Mweupe " kutokana na kufananishwa aina yake ya mpira na mchawi wa soka wa Duniani Pele.

Anatajwa kama mchezaji bora wa Dunia kwa miaka ya 1980's.
Alikuwa ni mtaalam wa mipira iliyokufa.

Alikuwepo kwenye kikosi cha Brazil kilichoshiriki Kombe la Dunia mwaka 1982 pale Spain.

Kikosi kile kiliundwa na Socrates, Falcao, Zico, Cerezo and Junior na wengineo kinatajwa kama kikosi bora ambacho kilishindwa kutwaa kombe la dunia licha ya kucheza soka la hali ya juu sana.

Pia amepata kuwa kocha wa timu mbalimbali kama vile Japan.
 

Pele hakuna na kipaji chochote zaidi ya kuvizia km Amissi Tambwe
πŸ™‚ πŸ™‚ πŸ™‚
.....
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…