Makapuku Forum

Sa unakuta mdada wa miaka 35 anashughulikia mpaka anaonekana kama kibinti cha miaka 22... Unadhani amwambia umri wake kijana wa miaka 25 au 29? Akikwambia utakimbia. Wengi mnatoka na wadada waliowazidi umri
Umenikumbusha jambo hapo, ni kweli kuna wadada wanajitunza hatari wanavyojiweka ni kama ana 25 kumbe yuko over 35.
Nilidate na mwanamke kumbe kanizidi 10yrs pia tayari ana two kids hapo tu nikawa mpole nikajitoa mdogo mdogo tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…