Makapuku Forum

Good morning brothers nawatakia siku njema na kwaresma njema. Hali yangu sio nzuri kivile vidonda tumbo vinanisumbua .. Pray for me guyz
Pole sana umeenda hospitali?ninakuombea Mungu akukumbuke na akuguse upate uponyaji wa mwili na roho

Zaburi 147:3 Huwaponya waliopondeka moyo ,Na kuziganga jeraha zao...

namwomba Mungu akuponye vidonda hivyo Mungu akubariki.
 
Kilevi changu namba moja ni Kutizama Movie naweza acha kula au kukesha
Kula muhimu na usingizi ni muhimu sana sana jitahidi sana ubadili lifestyle ili uepukane na magonjwa hiyo inaweza kukupelekea kupata shida hii unayoipata sasa..Mungu akusaidie sana
 
Kula muhimu na usingizi ni muhimu sana sana jitahidi sana ubadili lifestyle ili uepukane na magonjwa hiyo inaweza kukupelekea kupata shida hii unayoipata sasa..Mungu akusaidie sana
Ahsante sasa hv nimebadir January kurud nyuma nilikua nalala saa 9 ila sasa saa6 tu nalala.. Daah kwaresma sijui kama nitashiriki vzr
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…