Makapuku Forum

 

1972 - Mauricio Pochettino anazaliwa.

Mchezaji wa zamani wa Argentina na Kocha wa sasa Tottenham Hotspurs ya Uingereza.

Kwangu mimi namchukulia kama kocha bora kwenye EPL ingawa amechemsha vibaya kwenye UEFA.

1979 - Damien Duff anazaliwa.

Winga wa zamani wa Chelsea, Fulham na timu ya taifa ya Ireland.

1989 - Toby Alderweireld anazaliwa.

Ni beki kisiki wa timu ya Tottenham na timu ya taifa ya Ubelgiji.
Naona leo ni siku ya kuzaliwa footballerz
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…