Makapuku Forum

1931 - Mikhail Gorbachev anazaliwa.

Ni Rais wa zamani wa Urusi aliyekuwa madarakani wakati USSR inavunjika.

Ni mshindi wa tuzo ya amani ya Nobel.

Anatajwa kama pandakizi la CIA aliyeangusha Umoja wa Kisoviet wa kijamaa wa USSR kutokana na vita baridi dhidi ya Marekani.
 
1947 - Harry Redknapp anazaliwa.

Ni kocha wa zamani wa West Ham, Tottenham, QPR, Southampton na Portsmouth.

Alichukua ubingwa wa Kombe la F.A mwaka 2008 akiwa kama kocha na Portsmouth.

Ni mjomba wake na Frank Lampard.

Aliwapeleka Tottenham kwenye Uefa Champions League kwa mara kwanza katika historia ya klabu hiyo mwaka 2010.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…