Makapuku Forum

In addition
Asante sana Lee Empire ubarikiwe..jana sikusoma kabisa ...nilimis sana hapa mahali
Mbaya tu
Maana sio kwa kuwamiss huku

Weekend ijayo najua itakuwa upande wa Liverpool maana big team hazimsumbui

Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app


R.I.P
.....

Kumbukumbu nzuri asante

R.I.P CAPTAIN JOHN KOMBA..PUMZIKA KWA AMANI AMEN

Upo guantanamo nini?-kidding
 
Dikteta atakuja mwenyewe, nasafisha njia tuu

Tarehe 2 Machi
2 Mar, 1836 - Jimbo la Texas, ambalo ni la pili kwa ukubwa katika USA linapata uhuru wake toka kwa Mexico.



2 Mar, 1990 - Rais wa kwanza mzalendo baada ya ukaburu kuanguka Nelson Mandela
anachaguliwa kuwa naibu rais wa ANC. Rais wa ANC wakati huo alikuwa ni Oliver Reginald Tambo
 
Tusubiri mapicha ya balozi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…