Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,230
- 68,257
1995 - Mtandao wa Yahoo waanzishwa huko Marekani.
1953 - Kiongozi wa USSR, Joseph Stalin anadondoka ghafla baada ya kupata mshtuko wa moyo.
1992 - Nchi ya Bosnia and Herzegovina yajitangazia Uhuru wake toka kwa Yugoslavia.
1998 - Filamu ya Titanic yawa ya kwanza kufikisha mauzo ya Dola Bilioni 1 Duniani.
2002 - Marekani yaivamia Afghanstan katika Operation Anaconda kwa ajili ya kupambana na kundi hatari la Al Qaeda chini ya uongozi wa Osama Bin Laden.
1953 - Kocha Carlos Queiroz anazaliwa.
Ni kocha msaidizi wa zamani wa Man Utd, Real Madrid na timu ya taifa ya Ureno
1983 - Lupita Nyong'o anazaliwa.
Msanii wa Hollywood kutoka nchini Kenya.
1989 - Carlos Vela anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Arsenal ambaye anakipiga timu ya Real Sociedad na timu ya taifa ya Mexico.
1994 - Justine Bieber anazaliwa.
Mwanamuziki mahiri na kijana toka nchini Marekani.
Duh!!! Billion!!!1998 - Filamu ya Titanic yawa ya kwanza kufikisha mauzo ya Dola Bilioni 1 Duniani.
Duh!!! Billion!!!1998 - Filamu ya Titanic yawa ya kwanza kufikisha mauzo ya Dola Bilioni 1 Duniani.
Mke wake alimshauri waondoke London1989 - Carlos Vela anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Arsenal ambaye anakipiga timu ya Real Sociedad na timu ya taifa ya Mexico.