Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,559
Ahsante sana mkuuPole mtani
Ahsante sana mkuuPole mtani
Habar zenu wakuu
Mm sipo Poa kabisa.... Yanga ndio sababu kuu
Wacha tu nijipoze machungu na barafu u
Haaaahaaaa mama mageji voiceKunywa maji mwanangu, yanasaidia😀
Munyamaaaaa mmeifanya BESDEI yangu leo kuwa mubashara!!!
Siamini yanga yangu imeniangushaKunywa maji mwanangu, yanasaidia😀
Bhinamuuu obe mengine siri yetu Mimi na weweKwani siku nyingine mjombaangu lee empire huwa halali kitandani?
Inawezekana ile kulalamika maumivu ya mbavu anayolalamikaga kwa 'fundi mganga' ni kwa kulala kitandani mara moja moja?
HahhahahhKunywa maji mwanangu, yanasaidia😀
Oooooooooh happy birthday kimubasharaHabar zenu wakuu
Mm sipo Poa kabisa.... Yanga ndio sababu kuu
Wacha tu nijipoze machungu na barafu u
HahahahaWeka picha
Yanga wapuuzi sana, wachezaji wanatetemeka kila wakikutana na Simba.Yanga leo kawabeba simba
Bhinamuuu obe mengine siri yetu Mimi na wewe
Hata wewe ukikutana na simba porini lazima magoti yalegee tuYanga wapuuzi sana, wachezaji wanatetemeka kila wakikutana na Simba.
Sijaona neno lakeNdo maana nimefunga mdomo mjomba, hivi BH sio shabiki wa Yanga?
Ahsante InjiniaAisee hongera sana
Adje Adje?Mushenga![]()
Wanachungulia tu.....mie nduki!!!Yanga mupooooo![]()
Naanzaje kushindwa ,uzuri mziki wangu unaujua mwenyewe

HahaaaHata wewe ukikutana na simba porini lazima magoti yalegee tu
Thanks Papaa ObeHappy besdei mukongo