Makapuku Forum

Mama wetu mpendwa tunashukuru kwa maneno yako hakika kapuku tunafarijika sana ...
 
1986 - Rais Ferdinand Marcos wa Phillipines anakimbia Nchi hiyo mara baada ya maandamano makubwa mitaani yaliyojulikana kama People Power Revolution. Alikaa madarakani miaka 20.

Corazon Aquino anakuja kuwa Rais wa kwanza mwanamke nvhini humo.
 
1981 - Ji Sung Park anazaliwa.

Kiungo wa zamani wa Man Utd , Qpr na PSV Eindhoven na timu ya taifa ya Korea Kusini.

Mchezaji mwenye mafanikio zaidi kutoka bara la Asia baada ya kushinda jumla ya vikombe 19 katika carrer yake.

Ni mchezaji wa kwanza kutoka Asia kushinda taji la Uefa Champions League, Fifa Club World cup.

Alisifika zaidi kwa kupafomu kwenye mechi ngumu na kubwa.

Andrea Pirlo anadai kuwa mtu pekee aliyekuwa anajua kumkaba na asiyependa kukutana nae uwanjani ni Js Park.

Kwasasa ni balozi wa Man Utd.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…