Makapuku Forum

Makapuku Forum

43c9edaab1147294aebac768b2e09e3e.jpg

Kesho ndio kesho
Hata tukiingiza mademu uwanjani Simba atakufa

.......
 
- Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Dikteta wa Makapuku Forum, Mussolin5

Namshukuru Mungu kwa kunibariki kufika siku hii kubwa kwangu, shukrani na pongezi pekee zeinde kwa wazazi wangu, sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea kwa Mungu awabariki katika maisha yao.

Happy birthday to ME.
Heri ya siku yako kubwa Mussolin 5 Mungu akupe maisha marefu yenye heri Na baraka tele ufanikiwe uwe na furaha Na amani daima Happy Birthday,enjoy your day
 
- Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Dikteta wa Makapuku Forum, Mussolin5

Namshukuru Mungu kwa kunibariki kufika siku hii kubwa kwangu, shukrani na pongezi pekee zeinde kwa wazazi wangu, sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea kwa Mungu awabariki katika maisha yao.

Happy birthday to ME.
Happy birthday dikteta
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom