Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
1946 - Kanali Juan Peron wa Argentina anaingia madarakani kama Rais wa Nchi kwa kipindi chake cha kwanza.
1946 - Kanali Juan Peron wa Argentina anaingia madarakani kama Rais wa Nchi kwa kipindi chake cha kwanza.
2008 - Rais wa Cuba, Fidel Castro anajiuzulu wadhifa wake mara baada ya kuhudumu kwa miaka takribani 32. Anamuachia mdogo wake Raul Castro.
Pamoja na kujiuzulu wadhifa huo, aliendelea kubakia Mwenyekiti wa Chama cha Kikomunisti nchini humo.
1933 - Ali Mazrui anazaliwa.
Ni mwanazuoni mahiri toka nchini Kenya.
1940 - Denis Law anazaliwa.
Mchezaji wa zamani wa Man Utd, Man City na timu ya taifa ya Scotland.
Goli lake alilofunga dhidi ya Man Utd akiwa Man City liliifanya klabu ya Man Utd ishuke daraja msimu wa 1972/1973 na hakushangilia bali alilia sana.
Mmoja wa kati ya Wachezaji wanaokubalika sana katika klabu ya Man Utd, ambapo nje ya uwanja wa Old Trafford kuna sanamu ijulikanyo kama " The United Trinity " ikihusisha Wakongwe watatu ambao ni yeye Denis Law, Bobby Charlton na George Best.
1955 - Steve Jobs anazaliwa.
Mfanyabiashara na mwasisi wa kampuni ya Apple Inc kutoka nchini Marekani.
Alifariki mwaka 2011.
1977 - Floyd Mayweather Jr anazaliwa.
Ni mwanamasumbwi toka nchini Marekani.
Mungu nisamehe namchukia huyu jamaa na sina hata sabab za msingi![]()
![]()
![]()
Japo ni bilionea lakini ana tabia za kiswahili
.....
1993 - Robert " Bobby " Moore anafariki Dunia. Mchezaji wa zamani West Ham na timu ya taifa ya England.
Alikuwa ni kepteni wa timu ya taifa ya England iliochukua Kombe la Dunia mwaka 1966 katika ardhi ya nyumbani kwa mara ya kwanza na ya mwisho mpaka sasa.
Ndiye kepteni mdogo kushika wadhifa huo, alishika wadhifa huo akiwa na miaka 22.
Klabu yake ya West Ham imestaafisha jezi yake namba 6 aliyokuwa anaitumia klabuni hapo.
Tabia zake za kiswahili zinaboaMungu nisamehe namchukia huyu jamaa na sina hata sabab za msingi
HBD Dikteta- Leo ni siku ya Kuzaliwa kwa Dikteta wa Makapuku Forum, Mussolin5
Namshukuru Mungu kwa kunibariki kufika siku hii kubwa kwangu, shukrani na pongezi pekee zeinde kwa wazazi wangu, sina cha kuwalipa zaidi ya kuwaombea kwa Mungu awabariki katika maisha yao.
Happy birthday to ME.
Nepotism![]()
![]()
![]()
Akamwachia madaraka mdogo wake Raul Castro
.....
Umenikumbusha lile pambano lao aisee ila karoho kaliniuma mnooo maana sikutegemea kama angempiga Pacquiao hata kidgo nlikesha weee ila ikawa vice versaTabia zake za kiswahili zinaboa
![]()
Namkubali Manny Pacquiao
.....
Rooney hayupo mioyoni kwa mashabiki wengi licha ya kuvunja rekodi nyingi klabuni.![]()
![]()
![]()
![]()
Rooney naye aonfezwe kwenye mnara
.....
Ukweli mtupu.![]()
![]()
![]()
Japo ni bilionea lakini ana tabia za kiswahili
.....
poaamabo vp kf