Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,330
- 68,399
Ngoja niendelee kutoka hapa ulipoishiaLEO KATIKA HISTORIA: 1984:Askari 500,000 wa Jeshi la Iran waliingia nchini Iraq kwa ajili ya mapambano ya kivita. Nchi hizo jirani ziliingia kwenye mgogoro uliodumu kwa miaka minane kuanzia 1980 – 1988.
Jamani jamani .....give me a break!hahahhh kumbe umemuona yy na shululu hawana tofauti
Kukuita Shafii Dauda tayari umeniweka kundi moja na Shu[emoji31] [emoji30] [emoji27]Laoo mojaaa[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ila aliletaa barua ya posaa sema anaona gereee ..
Wapi Shululuuu!!![emoji350] [emoji350] atafute diclopa kabisa[emoji13]Wanazi wa arsenal mmejiandaa kisaikolojia..?
We sio wakunisema Hivi.....nabata ushungu!.....nabata ushungu![emoji22]hahahhh kumbe umemuona yy na shululu hawana tofauti
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Jamani jamani .....give me a break!
Kukuita Shafii Dauda tayari umeniweka kundi moja na Shu[emoji31] [emoji30] [emoji27]
hahahahh nisamehe tu mukongoWe sio wakunisema Hivi.....nabata ushungu!.....nabata ushungu![emoji22]
Photoshop!!! Mbona tairi haionyeshi kuelemewa?
[emoji120] thanks MussoLeo katika Historia
Sina la ziada, jioni njema wakuu.
[emoji1] [emoji6] [emoji4] ayahahahahh nisamehe tu mukongo
1923 - Ugiriki yawa nchi ya mwisho ya Ulaya kufata mfumo wa Kalnda wa Gregory.