Nilikuwa safarini mkuu. Nimerudi na nitakuwepo kwa takriban miezi mitatu. Inshallah tutakuwa pamoja. Shunie ndo huwa ananifanya nipamiss huku sana sana. Halafu tena nikikukumbuka wewe (ukiwa na Shunie) stimu inakata. Hata hivyo tuko pamoja mkuu
Asante Shunie. Nilikuwa kwa Trump na nimekuletea kizawadi. Nikipitishe kwa mzee (Lee Empire) au nikilete moja kwa moja kwako? Toa mwongozo please....ndukiiiiiiiii !!!