Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,555
Niaje brotherMorning Lee
Niaje brotherMorning Lee
Mrembo umemskia lakini??Nimefika brother
Morning mkuuNiaje brother
Nimemsikia bro big up mkuu kwa kusimamia shoo hadi ikafanikiwaMrembo umemskia lakini??
Wap upo mrembo your hubby nakusubirHabari za asubuhi wapendwa. Mie nimeamka salama hofu kwenu. Nawatakia kazi njema katika ujengaji wa Taifa letu . Na Mungu awabariki.
Mkuu tupo bega kwa mkonyo katika hiliiNimemsikia bro big up mkuu kwa kusimamia shoo hadi ikafanikiwa
Asante shemela wetu mpendwaaHabari za asubuhi wapendwa. Mie nimeamka salama hofu kwenu. Nawatakia kazi njema katika ujengaji wa Taifa letu . Na Mungu awabariki.
Transcend hajaamka tuMorning mkuu
Morning mkuu frem zeroHabari za asubuhi wapendwa. Mie nimeamka salama hofu kwenu. Nawatakia kazi njema katika ujengaji wa Taifa letu . Na Mungu awabariki.
Nawajibika mwenzio. Si unajua hapa kazi tu?Wap upo mrembo your hubby nakusubir
Tunaelekea kugufulikaMorning shululu ,hope your doing well
Mornie hujamboMorning mkuu frem zero
Poa, vip pande hizoNiaje brother
Nakukubali mkuu kwa yote uliyonifanyiaMkuu tupo bega kwa mkonyo katika hilii
Naomba nianze kushona suti
Ndo maneno hayoTunaelekea kugufulika
SijamboMornie hujambo
Kashaamka ila ukimuungia bando italeta ufanisiTranscend hajaamka tu