shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Hapo umechemka aiseedah kushabikia arsenal na liver ni kujipa presha tu wanyalukolo wenzangu timu yetu lipuli imerudi kuwalipuaaaaaa
Hapo umechemka aiseedah kushabikia arsenal na liver ni kujipa presha tu wanyalukolo wenzangu timu yetu lipuli imerudi kuwalipuaaaaaa
hahahahaha mkuu we lazima itakuwa mshabiki wa timu mojawapo zilizotajwaHapo umechemka aisee
Ok kwa heshma zote nashukuru kwa kinikubalia kua mmiliki wako halali japo sijatoa mahali. Nakuomba uwatangazie huu umma wa humu kua ujimbo lako tayar limepata mbunge wakeNawajibika mwenzio. Si unajua hapa kazi tu?
Ok kwa heshma zote nashukuru kwa kinikubalia kua mmiliki wako halali japo sijatoa mahali. Nakuomba uwatangazie huu umma wa humu kua ujimbo lako tayar limepata mbunge wake
tutawatangazia jioniFrex sana mkuuPoa, vip pande hizo
Mkuu tumepokea taarifa kwa mikono miwikiOk kwa heshma zote nashukuru kwa kinikubalia kua mmiliki wako halali japo sijatoa mahali. Nakuomba uwatangazie huu umma wa humu kua ujimbo lako tayar limepata mbunge wake
Naomba jioni tukutane hapahapa kwa ajili ya utambulisho, kila mtu aje na wakeMkuu tumepokea taarifa kwa mikono miwiki
Mimi na Shunie tunawatakia kila la kheri
Mkuuu ntalifanyia kazi ,nimelipokea ....umemsahau pappaa muntu ya pesaSawa Sawa nasubir my wi-fe lee empire tafuta pete za uchumba, shululu shughulikia suala la vinywaji, Transcend vyakula please,Obe mtzmweusi sambazeni kadi
Morning jooh!Goodmorning family, ngoja nizame kitaa nikafanye yangu.....nawatakieni Siku Njema yenye mafanikio
Peace n love![]()
Bwanaaabwanaaaaaah .....si unajuaa furahaNaomba jioni tukutane hapahapa kwa ajili ya utambulisho, kila mtu aje na wake
Miwiki=miwili
Chemkad kidogo bro
Eeeh! Goodmorning cash madameNimekubali ombi lako ila mahari naomba unikabidhi miee![]()
Lee, mbona sielewi mkuu! Whats happenin' dude?Mondray njooooooooooo
Ooooooooooh finaly our dude succededLee, mbona sielewi mkuu! Whats happenin' dude?
Mkuu nishaamka toka 11, majukumu ya asubuhi ni mengi sana...Transcend hajaamka tu
Please toa hilo jina linaloanzia na j tafadhar mkuuMkuu naona umecheza pele from joanah to frem zero
Lile jina linaloanzia na j usilitaje huku eeeh hebu kalieditMkuu nishaamka toka 11, majukumu ya asubuhi ni mengi sana...