Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Timu ikifuzu tu World Cup utawaona wanajazanaNi hawa hapa
Joel Matip difenda mzuri tu ambaye kaanza katika mechi 12 za Liva na kascore goli moja
André Onana (Ajax d’Amsterdam),
Guy Roland Ndy Assembe (Nancy),
Allan Nyom (West Bromwich),
André Zambo Anguissa (Olympique Marseille),
Ibrahim Amadou (Lille) -
Sababu ya kutotaka kuchezea timu ya taifa ni hofu kuwa watakosa namba katik vilabu vyao.
...........


