[emoji4][emoji106]Ya watoto wawili
Majukumu dugu angu[emoji4]
Siku hizi Me nashiba makande
Hey niaje mazee
Cameron vp hukoMajibu hujapata hadi muda huu?
Una ujua ule msemo wa "akufukuzaye....?"
Haaaahaaaaa
AFCON FINAL
Misri v Cameroon
.........
Umenifumbua macho brother obeMajibu hujapata hadi muda huu?
Una ujua ule msemo wa "akufukuzaye....?"
Cameron bingwa
Haaaahaaaaa
AFCON FINAL
Misri v Cameroon
.........
Kameruni tangu kitambo babaaababake! wale wajinga wajinga waliokataa kuja kuchezea nchi yao wanajiharishia tu saa hizi akiwemo yule wa Liva Matip
Kameruni tangu kitambo babaaababake! wale wajinga wajinga waliokataa kuja kuchezea nchi yao wanajiharishia tu saa hizi akiwemo yule wa Liva Matip
AFCON Champions
Cameroon
Misri[emoji637]
Cameroon[emoji638]
...................
Wamepotesa bahati ya kuwepo kwenye kikosi cha kukumbukwa km mashujaa
Samtaimu heshima ni bora kuliko pesa
........