Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
make-up ndo habari ya mjini. [Kazi kwenu wakaka[emoji3] [emoji3] [emoji3]![]()
Tunaolamba hizi make-ups tunajikinga na kansa. Wadada endeleeni kujikandika mamekapu kwa kutulinda
make-up ndo habari ya mjini. [Kazi kwenu wakaka[emoji3] [emoji3] [emoji3]![]()
Usimchezee chatu ooh chatu eeh,[emoji444] [emoji445] [emoji443] gongo usimtupie utaukosa ushindi.....[emoji443] [emoji444]Hafi mtu ...kwanza nawaruhusu waingie kwenye mapambano waone kama watang'oa kisiki
Kwelii pappaaUsimchezee chatu ooh chatu eeh,[emoji444] [emoji445] [emoji443] gongo usimtupie utaukosa ushindi.....[emoji443] [emoji444]
[emoji4]Yaaani tunanza valentine mapemaaa....Tar 14 ni kilele tuu kama sikukuu ya 8/8 .[emoji23][emoji23][emoji23]
Clkey is my omotola! Every kapuku should know that
Hii biznez siyo ya kispot spot
[emoji3]Na mimi nimeamua wifi yako apumzike Leo namsaidia kila kitu
[emoji15]Morning family
Afwande sacajo mambo iko byeeMutu ya congo mambo iko ni gani??
Mapenzi mubashara[emoji3]
Nasaidia sana Papaa, ile lubumbashi na Bukavu najua mimi pedyegyee MukubwaTajiri isiyo saidia ndugu zake kule kwa congo
[emoji72] [emoji72] [emoji72] [emoji72][emoji15]
Shemela yupo?Mapenzi mubashara
[emoji3]Hatujui kama amefika salama au hapana ...last seen yake ni jana alfajiri wasije kuwa wamempiga kipapai make kuna kidosho alikua anakitamani
Important update ,mtafute zero frem ana ujumbe wako
[emoji134]Nitakosaje kwa mfanoo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Yupoo hapa katuliaaShemela yupo?
Bwahahahahaaaa [emoji13]lee empire mbona anasema kachukuliwa
Msalimie sanaYupoo hapa katuliaa
Asante Na usiku mwemaAmen, nawe pia
[emoji87]Kapuku anakula kwa urefu wa kamba yake ...
Nafata maji kwa mangi
Chee![emoji134]Hahahaaa upo tayari kuwa bwana mdogo?