Makapuku Forum

Natangaza rasmi leo ndio najiunga na Makapuku rasmi kwa moyo wangu mkunjufu bila kusukumwa na mtu Bitoz lee empire werrason BlessedHope Jimena Transcend nahitaji mnipokee, mnielekeze na kunisapoti ili kufuata ilani ya makapuku inavyosema
Mkuu karibu sana wala hujakosea njia ...apa ndo jamvi la wana kapuku upendo mwanzo mwisho ,muhimu kutomkera mtu ,gonga like upate like

Karibu sana na kama hupo single usisite kutangaza fursa
 
Kwa vichekesho na utani hapa ndio penyewe bro
 
mukongo mutu ya pesa mingiiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…