BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Naamini mmeamka salama Na afya njema,Mungu awabariki sana siku ya Leo iwe ya baraka Na mafanikio Ijumaa khareem
Asante sana mkuu ...Allah katuamsha salamaNaamini mmeamka salama Na afya njema,Mungu awabariki sana siku ya Leo iwe ya baraka Na mafanikio Ijumaa khareem
Niaje shemelaMorning kapukuz!!
Morning Mkuu siku njema ubarikiweMorning kapukuz!!
Ni kweli mkuu ,maombi yenu yamesaidiaMorning Mkuu, LeEmpire naamini Mungu anakuimarisha na afya ni njema asante kwa magazeti Ubarikiwe ,siku njema
Stay blessed tuu mkuuMorning Mkuu siku njema ubarikiwe
Njema, tunamshukuru Mungu pole sana Na Mungu akuponye.Jaamani habarini za asubuhi daaa mm najihisi kuumwa
Ahsante mkuu nipo hoi balaaaNjema, tunamshukuru Mungu pole sana Na Mungu akuponye.
Una utani na bitozWale wa namba yao 6
![]()
Da
Uchochezi huo sasa
Sina maana hiyoUna utani na bitoz
Unabisha niniUchochezi huo sasa
Blessed nawe piaNaamini mmeamka salama Na afya njema,Mungu awabariki sana siku ya Leo iwe ya baraka Na mafanikio Ijumaa khareem
MorningMorning kapukuz!!
Bingwa arsenalUnabisha nini
Kwema mkuu! Upo salama?Niaje shemela