Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Nambie ShemelaShemelaaaa
Nambie ShemelaShemelaaaa
Nimekumis vilivyo haswaaNambie Shemela
Shemelaa wangu ww muongo bwanaNimekumis vilivyo haswaa
Jamani uongo wapi uko wapi ?Shemelaa wangu ww muongo bwana
Me ako powaMie cjambo labda ww
Hujanitafuta bwanaJamani uongo wapi uko wapi ?
Muulizie shem Transcend
Nilikuwa hoi na malariaHujanitafuta bwana
Yesu pole sana shemej yangNilikuwa hoi na malaria
Asante shemela ...kumbe Transcend hajakwambiaYesu pole sana shemej yang
Hajanambia bwanaAsante shemela ...kumbe Transcend hajakwambia
Mwambie tabia yake mbayaHajanambia bwana
Sawa shemelaMwambie tabia yake mbaya
Hakuna siku mbaya maishani kamavkuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, halafu wewe umeninginia kwenye daladala,,,
tena ulikua unamzid maksi darasani hapo ndo utajua kwanini gunia na dunia zinatofautiana herufi moja tu
![]()
![]()
![]()
................
kuwa kichwa class sio kutusua kwenye life
Inauma lakini utafanyajee ...na mbaya zaidi unakuta kipindi kila mwalimu akitinga class au paredi anakusifia kinomaaa na wewe unajiona bichwa na uyu ndo wale waliokua wanakuja skonga kunywa uji na kurudi mageto ..Hakuna siku mbaya maishani kamavkuona mtu uliyesoma naye darasa moja, anakupita na private car,, halafu wewe umeninginia kwenye daladala,,,
tena ulikua unamzid maksi darasani hapo ndo utajua kwanini gunia na dunia zinatofautiana herufi moja tu
![]()
![]()
![]()
................
Maisha hayana adabukuwa kichwa class sio kutusua kwenye life
Tatizo wakati tukiwa skuli tulikuwa na akili za kitotoInauma lakini utafanyajee ...na mbaya zaidi unakuta kipindi kila mwalimu akitinga class au paredi anakusifia kinomaaa na wewe unajiona bichwa na uyu ndo wale waliokua wanakuja skonga kunywa uji na kurudi mageto ..
Maisha ya madaftari na madesa yanadanganya kinomaaa hasa kwenye uhalisia wa life la kitaaTatizo wakati tukiwa skuli tulikuwa na akili za kitoto
Now tumekuwa wakubwa ndo tunagundua uhalisia wa maisha
Hata wanafunzi wa vyuo vikuu wanafikiri wakimaliza tu basi maisha yatakuwa mteremko tu
![]()
![]()
![]()
..........
Zimefika mkuuSalamu kapukuz