Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,081
- 464,047
Hahahaahh kaanza leoTangu lini ukanitakia mazuri ??
Hahahaahh kaanza leoTangu lini ukanitakia mazuri ??
hahahaaahFakalava
mmhTangu siku nyingi tu, hata shemela shahidi
we johnson mm ananitoshaHebu kwenda huko mm nina ndoa tatu na nina mpango wa kuongeza wa nne, una banwaje na mmoja?
Ndo utajua![]()
Shem Darling naona unakaba hadi kivuli
maisha yenyewe magumu haya hao wa3 atahudumiajr![]()
Shem Darling naona unakaba hadi kivuli
au unataka kuongeza baba biteNdo utajua
Usiseme ivooo unaumiza mtima wangu wewe unatosha tùuuuuuau unataka kuongeza baba bite
Baby wala usimsikilizeeHahahaahh kaanza leo
Jiranii ulipoteaa ,ayo mengine tutayajenga kijiweni kwenye kahawa ila jirani jumbo lilikushindaa niliumia
Bhinamu Ilo swali gumuLilimshinda kwani alitangaza nia au alipewa fursa?
Bhinamu Ilo swali gumu
Bhinamu lakini umesikia pale jirani kwa Baba mkubwa karibia kabisa na mama mkwe wake ??Ha ahhahaha mjomba, inapokaribia furahiday huwa hata sijijui naulizaga nini, muda wote nawaza bakulutu na safari kubwa
Bhinamu lakini umesikia pale jirani kwa Baba mkubwa karibia kabisa na mama mkwe wake ??
Shemeji hili swali ungeniuliza kuleee ingekua poa zaidiau unataka kuongeza baba bite
