Makapuku Forum

Umeongea ukweli Balozi ...kuna vijiji hawakuzoea maisha ya kununua chakula hasa unga na Mchele ila kwa sasa hali imebadilika mkuu ,walizoea kubadilisha chakula wanavyotaka mfano mchana ale viazi usku mihogo ,kesho magimbi n.k ila now maisha ya vijijini yamekua kama mjini wanategemea kununua

Sasa angalau walioko mjini tulizoea kununua ila je wale wanaweza kununua na ukizingatia hali ya PESA kwa sasa


Kuna sehemu kununua maji walikua wanasoma kwenye magazeti ila kwa sasa hali ni mbaya bodaboda ndo wamechukua fulsa ya kutafuta maji na kuuza chukulia mfano kidumu sh 500 ....kazi ipo
 
Mimi mwenyewe nimeshuhudia msosi haubadiliki,chakula kilekile asubuhi,mchana & usiku daily mboga ndo inabadilika mara chache ndio maana vijiji vinakimbiwa
...........
 
Mimi mwenyewe nimeshuhudia msosi haubadiliki,chakula kilekile asubuhi,mchana & usiku daily mboga ndo inabadilika mara chance mbaya ndio maana vijiji vinakimbiwa
...........
Na hao ndo wenye huwezo wa kupata Milo yote kumbuka kuna ambao hawawezi kupata mashamba yamekauka misimu imebadirika hakuna kitu Balozi ila nasikia ghala lina nafaka za kutosha wakati unga umefika 1800
 
Haaaahaaaa, pm na waziri sijui ni yupi anasema kweli

Ht uwe na elimu ya Phd ukiingia siasani utafanya mambo kisiasa tu
Mfano
Dk Alli Son Kiwembe ni gwiji wa sheria halafu anasema Sizonje hajavunja katiba na ana uwezo wa kuteua na kutengua atakavyo.....
huu ni ustupid ht Certificate holder wa Law hawezi kusema ,yaani ukiwa mwanasiasa samtaimu upo tayari ukae uchi ili kumridhisha bwana mkubwa

........
 
Zatis turuuu Mr Balozi
 
Uko mkoa gani?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…