Makapuku Forum

Morning all kapuku ..kwa udhamini mnono wa
salaniatz tukaone magazeti ya leo
kazi anayo mwaka huu[emoji115] [emoji115] [emoji115] [emoji87] [emoji87] [emoji87]
Gazeti la Nipashe lina habari ambayo imenigusa sana, infact inanihusu. Naomba kuelezwa ni kanisa gani limepiga marufuku ndoa za wazazi?
Nipo kijijini hakuna magazeti huku.
 
Mimi pia nilikuwa kijiji fulani njaa IPO sema aliyeshiba hawezi ona hill....mwezi wa 6 mbali sana kule muda huh watu wanakula maembe km nyani vile
Kumbuka tu kila mwaka kijijini njaa ipo ila mwaka huu balaa/imevuma sana sababu ya kukosekana mvua za vuli

Pia nimegundua vijiji vimepoa sana tanguJPM aingie madarakani mfano zamani wakati wa gulio watu walikuwa nyomi lakini siku hizi wamepungua sana
Pia japo watu wanazaliana lakini nimekuta pilikapolika zimepungua nahisi wameanza kukimbilia mijini kwa kasi
Njaa ya chakula na fedha ipo
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…