Mkuu alitoa pendekezo kuwa atafungua group la whatsap ili nondo zake awe anaweka na tunachangia elfu tano kwa mwezi ...cheki page ya kwanza ya mkakati 0034
Kuna wakati unatakiwa uushinde moyo
Nlichogundua unatakiwa kuwa na roho ngumu sana kwenye inshu ya mapenzi otherwise utakufa na unamuacha mwenzako anafurahia maisha
Kikitokea shukuru Mungu futa machozi anza upya