Hapo sawaWe shida zako zote zisemee hadhari
Ili kaka youngblood aelewe kinachoendelea bila kumsahau shem jambilo
Karibu sana.Nilikua nazifuatilia tangu awali hizi harakati za makapuku kabla sijaamua rasimi kuungana nazo mapema hii leo
Hii avatar inataka kumtoa mbio sungura wanguMkuu avatar hiyo
Umepigwa kwa manatiHa haaa..... Haya.
HahahahaaaHii avatar inataka kumtoa mbio sungura wangu
Ni salamahabari za hapa mjengoni makapuku
Mkuu nami mdau wa hao wajamaa, unao au avatar tuHahahahaaa
Safi kabisa,mambo vipi.?habari za hapa mjengoni makapuku
Unapenda ukapuku wew!Ni salama
Karibu
Ninao madume safi kabisa kama una majike yalete upate mbegu safi kabisaMkuu nami mdau wa hao wajamaa, unao au avatar tu

Ni mafanikio makubwa sana mkuu jambilo13,140 sasa!
Ohoo mkuu tulia mjini kuna vya watuHiyo avatar hakika wewe ni amaizing![]()
![]()
![]()
Aisee inabidi ulipie matangazo.Ninao madume safi kabisa kama una majike yalete upate mbegu safi kabisa![]()
Ukapuku wa JF tu ila sio wa mfukoniUnapenda ukapuku wew!
Khaaaa we noma...unakuwadia had mbwaNinao madume safi kabisa kama una majike yalete upate mbegu safi kabisa![]()
(joks)