Makapuku Forum

Nawaahidi nikirudi tu Joto City nitarudi humu kwa nguvu mpya
*Katuni za sani na vunja mbavu
*picha kibao za vichekesho
*Quotes
*Did you know....facts

Kaeni mkao wa kutabasamu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Nami nitakuunga mkono kwa nguvu zote. Safu ya mhalifu mjinga wa siku na word of encouragement kila siku (kama nilivyoanza leo hapo juu).
 
Nawaahidi nikirudi tu Joto City nitarudi humu kwa nguvu mpya
*Katuni za sani na vunja mbavu
*picha kibao za vichekesho
*Quotes
*Did you know....facts

Kaeni mkao wa kutabasamu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
Nomaaaaa sanaaa uku mimi mapema magazeti ,mchana nukuu ya leo bila kusahau tushirikiane (Leo katika historia)
 
Nami nitakuunga mkono kwa nguvu zote. Safu ya mhalifu mjinga wa siku na word of encouragement kila siku (kama nilivyoanza leo hapo juu).
Sawa maana ni ukumbi wetu wa kuelimishana,kufurahishana,kutaniana n.k....kukiea na mambo mchanganyiko ndo panakuwa bomba km kjpindi kile
*Je wajua[emoji117] Jambilo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
*Top 10[emoji117] Sczesny
*Nagazeti[emoji117] Jimena(now yupo Lee}
*Leo ktk historia[emoji117] Dikteta
*Nukuu ya leo[emoji117] kaka'ke Lulu
*Kapuku songs/hits[emoji117] Dj Cobrepots
*Hadithi[emoji117] Kikofia
*Od is ever gold[emoji117] Bitterpie
*Vina/mistari[emoji117] Makaveli

*Mimi nilikuwa naleta update za soka,fix n.k{Ndani ya week hii narudi kmkawa}

Yaani kipindi hicho KF ilikuwa inatafutwa zaidi ya Faru John
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
 
Kitarudi tu
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115] [emoji115] [emoji115]
 
*Sintakaa nisahau siku nilipoenda ibada katika kanisa la walokole*,
*Siku hiyo nilisinzia wakati mchungaji anatoa mahubiri jirani yangu akanigusa "ndugu amka" ile nashtuka nikamsikia mchungaji akisema "simama" mi nikasimama fasta fasta nikasikia kanisa zima wanapiga makofi mchungaji akasema ahsante sana kwa mtumishi, aya nani mwingine anaetoa mchango milion 2 kwaajili ya ujenzi wa kanisa asimamee, nakuambia nilizimia [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…