Kweli ubunifu ni muhimu kwenye hii awamu. Sera ya kila mtu ataubeba msalaba wake haina huruma na mtu ukizubaa unakufa njaa na familia yako. Karibu nchi nzima hakuna mvua. Ngoja tuone tutakavyobeba misalaba yetu
Badala ya kukazania viwanda tungekazania kwanza mapinduzi ya kilimo. Our priorities are kind of misplaced