Najua Shululu. Na ni jambo jema. Zamani utani kati ya kabila na kabila ulikuwa jambo la kawaida. Hata leo bado utasikia watu wakisema "Oh nyie Wakinga watani wetu..." ila sisi Wasukuma nadhani ni watani wa kila mtu.
Juzi juzi hapa naona hata Wanyakyusa nao wameanza kutaniwa taniwa japo ni wakali sana. Inaonekana bado hawajakomaa sawasawa na wakitaniwa wanatoka povu balaa