Hapa ni ukumbi wa masela....kuna wasomi,wajasiriamali n.k ila kwavile ni Chit chat tunajimwaga kisela sasa mazoba wanafikiri sisi ni madogo wa SekondariKweli kabisa hili ni bonge moja la thread sema watu wanalichukulia poa tu sijui kwanin... mimi nimeshtuka mapema na mwaka huu tutakinukisha hadi wapate homa ya wivu na huku harakat zikiendelea.
Happiest new year makupuku family.
Sawa hapa upo huru kurukarukanimeelekezwa nije uku mimi nimejiunga leo
Sio Kwa kitambi hicho aisee.
Utafikiri kammeza Faru John mzimazimaSio Kwa kitambi hicho aisee.
Hahaha sio faru HadijaUtafikiri kammeza Faru John mzimazima
......
Wamekataza kumzungumzia Faru JohnUtafikiri kammeza Faru John mzimazima
......
Huo ni ukosefu wa lishe ya akiliWamekataza kumzungumzia Faru John
wana Uhaba wa akiliHuo ni ukosefu wa lishe ya akili
Watawezaje kudhibiti tusimzungumzie huyo mnyama...awamu hii magumashi
......
Karibu sananimeelekezwa nije uku mimi nimejiunga leo
Pamojaa sana kapuku ..muhimu tuombe uzimaKweli kabisa hili ni bonge moja la thread sema watu wanalichukulia poa tu sijui kwanin... mimi nimeshtuka mapema na mwaka huu tutakinukisha hadi wapate homa ya wivu na huku harakat zikiendelea.
Happiest new year makupuku family.
Love ya ukweli na watu uko wanatuonea gere kinomaa mpaka wanaanzishaga thread eti makapuku hamna kitu ...sema ruksa wajeeHapa ni ukumbi wa masela....kuna wasomi,wajasiriamali n.k ila kwavile ni Chit chat tunajimwaga kisela sasa mazoba wanafikiri sisi ni madogo wa Sekondari
Sawa hapa upo huru kurukaruka
.......
Mkuuu tumeambiwa tusimseme wa jinaUtafikiri kammeza Faru John mzimazima
......
Hii thread inawauma sana wakongwe mbona Wakongwe Forum hatuwasakami?Love ya ukweli na watu uko wanatuonea gere kinomaa mpaka wanaanzishaga thread eti makapuku hamna kitu ...sema ruksa wajee
Hawatupendi kinomaa ...sema ata mimi mwanzon nilikua naogopa kuingia huku ila mlivonipokeaa mpaka majukwa mengine nshasahauHii thread inawauma sana wakongwe mbona Wakongwe Forum hatuwasakami?
Mti wenye matunda........
.........
Hii thread inawauma sana wakongwe mbona Wakongwe Forum hatuwasakami?
Mti wenye matunda........
.........
Karibu, hapa ni swaga kwa kwenda mbele, tena za kijanja, toa like upate likenimeelekezwa nije uku mimi nimejiunga leo