Ni hatari sanaMajuu wanatumia plastic kutenda hii dhambi sisi ni mbao? Sipati picha uoe mke aliyezoea mbao kama hizi. Binadamu kweli kajaliwa akili. Anavyozitumia sasa ndo kasheshe. Kuna siku ataji-off mwenyewe katika dunia hii!
Kumbe anakaa wapiView attachment 449305bitoz pacha wako huyo ata mm nilikua najua anaishi dar
Salama mkuuSalaam
Uchochezi huo sasaKiukweli Mkwere ana mambo mengi tu yansyovutia
Yupo smart na tabasamu lake...Leo tunaye rahisi anayefaa makoti/suti ya oversize
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbuka ht Nyerere alikuwa smart...km Rais mavazi tu yanamshinda ndo ataweza kudeal na ishu serious za nchi?
.........
kijijini wanasemaKumbe anakaa wapi
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji40]..Inaitwa K ni K
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] lazima utoke nduki
[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona vijana wanaangalia kichuguu
Honorable[emoji41]WANASEMA MTU HATOJUA THAMANI YA MKONO WAKE MPAKA HUO MKONO UMTOKE...NAKUKUMBUKA SANA MH.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] utaambiwa ulete ushahidi wa uloyasema[emoji124] [emoji124]Unamkumbuka Mr. Dhaifu Mkwere Vasco da Gama fisadi mlea mafisadi? Haya ni baadhi tu ya majina mliyomuita naye akawachekea tu huku akiwaita ikulu na kuwanywesha chai pamoja na tende na halua. Hamjakaa sawa akaitia sahihi sheria ya makosa ya mtandao. Hamjakaa sawa akaona CCM isingeshinda kama ile katiba mpya ingepita huyooo kwa makusudi kabisa akaichakachua. Escrow ikaonekana itamuumbua akajitosa mwenyewe bungeni kuitetea kuwa zile hazikuwa pesa za umma. That's J.K. my friend. Master politician (Hata Edo anamtambua) but a questionable leader at best. Leo kageuka malaika. Sometimes in life you don't know what you have until it is taken away [emoji23][emoji23][emoji23]. Poor Tanzania!!![emoji115][emoji115][emoji115] Mhanga # 1 wa JK the politician!
Good morning kapukuWadogo marahaba , wakubwa shikamooni.
Kwa kidhungu good morning makapuku wote
Duuuuuuuh tetramelyz umeadimikaaMambo vipi family...nawakosa sanaa
Lamuka, tangi esi etamiMoninga! Ata, ndele tokozonga mboka..tokozonga Kinshasa.
Pw mdau....umeadimika kwelMambo vipi family...nawakosa sanaa