morningWadogo marahaba , wakubwa shikamooni.
Kwa kidhungu good morning makapuku wote
Njema za kwakoHabari za asubuhi
morningMorning all kapuku
Njema ilala hb..Za asubuhi makapuku wenzangu??
GOOD NEWS: Serikali imesema kuwa bei mpya ya sukari kwanzia mwezi ujao itakuwa Tsh. 1000 kwa kilo moja. SOURCE: Gazeti MAJIRA November 1998.. napenda sana kusoma news za zamani.
zinatia farajaMungu akishapanga Hutekeleza
NdokiView attachment 449501 For sale
morning NinjaGood morning family
karibu sana
Mukongo na taarifa ya habari ya saa mbili usiku ikisomwa saa saba usiku uwanja wa fisi





mnapenda sana chura..Chura muhimu sanamnapenda sana chura
asante mkuu.karibu sana
Mukongo mamboGood morning family