Mwinyi_ole_mushi
JF-Expert Member
- Oct 29, 2015
- 1,636
- 4,421
hahaha babu christimas kawa bonge
hahaha babu christimas kawa bonge
marahabaWadogo marahaba , wakubwa shikamooni.
Kwa kidhungu good morning makapuku wote
UsinisahauuKesho nitakuja kugawa vyeo na majukumu
Niajeee TetramelyzMambo vipi family...nawakosa sanaa
Morning LeeGood morning kapuku
Morning kapyunguWadogo marahaba , wakubwa shikamooni.
Kwa kidhungu good morning makapuku wote
Nzuri sana, za weweHabari za asubuhi
Uko poa shululu??Morning Lee
[emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] naona vijana wanaangalia kichuguu
Niko poa, vp pande hizoUko poa shululu??
Poa.....umeenda kuhesabiwa?Mambo vipi family...nawakosa sanaa
Kesho is TodayKesho nitakuja kugawa vyeo na majukumu
MalahabaWadogo marahaba , wakubwa shikamooni.
Kwa kidhungu good morning makapuku wote
Njema, za kwako?Habari za asubuhi
Uku tukopoaa nduguNiko poa, vp pande hizo