Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,937
SafiiiiFounder ni bitoz bali mleta uzi ni billy5
SafiiiiFounder ni bitoz bali mleta uzi ni billy5
ananiletea panya mm sijui wa nn
Nashangaa umechelewa kujiunga eti hukuifahamu muda wote huu, kuna memba wengi sana japo kwa sasa wametingwa na majukumuSafiiii
Mpuuzie tuananiletea panya mm sijui wa nn
Mpka wanawake naonaga tu mm naipitagaNashangaa umechelewa kujiunga eti hukuifahamu muda wote huu, kuna memba wengi sana japo kwa sasa wametingwa na majukumu
Upige na hadiNitaingia siku kuangalia
Nimeingia leo na hodi sijapigaUpige na hadi
Watakunyofoa kama kambaleNasikia founder wa Makapuku naye anatafutwa aunganishwe na mkuu Melo.....ngoja nijifiche ndani ya bwawa Mabibo Beach hadi saga liishe 😀 😀 😀 😀

Sana, ila umepunguza vigelegeleTuendako pabaya sana
Weka mguu sawa kuashilia uko vizuri![]()
![]()
hagopwi mtu hapa
![]()
Nimejipanga aisee
iko vizuriWeka mguu sawa kuashilia uko vizuri
Tatizo kaingia kichwa kichwaWw jamaan umeingia jf leo hivi utamlipa nan we ongea tu
Vya nini!Sana, ila umepunguza vigelegele
Ndio umri wake huoAtakua u18 huyu
Karibu sanaMpka wanawake naonaga tu mm naipitaga
Maana Kuna wakati ulikuwa unashangilia sana, mimi nikawa nakuchora tuVya nini!
Labda hukunisoma, siku zote nnachosemaga ni kuwa amesababisha watu wanapiga kazi angalau, cjawahi kumshabikia jpm hata kidogo kwani uongozi wake ni wa kiimla, hatujui tunapopelekwaMaana Kuna wakati ulikuwa unashangilia sana, mimi nikawa nakuchora tu
atakua mgeni labdaTatizo kaingia kichwa kichwa
SanteeeeKaribu sana