shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Jitahidi ufike sasauko sijawahi fika ata siku moja
Jitahidi ufike sasauko sijawahi fika ata siku moja
Kweli sio vizuri kuhojiwa hojiwa
Nalijua hilo ndio maana namwambia aache
Kuna nn ukoJitahidi ufike sasa
Jaribu kufika leo ujionee mwenyewe
Mambo ya mapicha picha tu. Kuna za kufurahisha. Kuelimisha. Utani kidogo. Za kuhuzunishaKuna nn uko
Nitaingia siku kuangaliaMambo ya mapicha picha tu. Kuna za kufurahisha. Kuelimisha. Utani kidogo. Za kuhuzunisha
Fanya leoNitaingia siku kuangalia
ha ha ha ngoja niendeFanya leo
Halafu leta mrejeshoha ha ha ngoja niende
Hahahaha acha uogaNasikia founder wa Makapuku naye anatafutwa aunganishwe na mkuu Melo.....ngoja nijifiche ndani ya bwawa Mabibo Beach hadi saga liishe 😀 😀 😀 😀
Nasikia founder wa Makapuku naye anatafutwa aunganishwe na mkuu Melo.....ngoja nijifiche ndani ya bwawa Mabibo Beach hadi saga liishe 😀 😀 😀 😀





Siku imeendaje shunie
imeenda poa kaka sijui kwakoSiku imeendaje shunie
Bailly5 ww ndio founder wa makapukuHahahaha acha uoga
Tuendako pabaya sana[HASHTAG]#FreeMaxenceMelo[/HASHTAG]
[HASHTAG]#BringBackBenAlive[/HASHTAG]
[HASHTAG]#JusticeforLema[/HASHTAG]
Iko poa sana, ni furaha yangu kukuona tenaimeenda poa kaka sijui kwako