shafii briyter
Member
- Dec 3, 2016
- 23
- 7
Ha ha ha ha uzeeni tena kabla hata sijazeeeka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] watakufata huko huko
Ha ha ha ha uzeeni tena kabla hata sijazeeeka
Ndo kwanza nina miaka miwili
Nahisi umetumwa uje kutuchafulia thread maana husomeki....anyway naishia hapaMmmh
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kuna wakongwe forum pia aiseeMbona una swaga za kizushi km vipi nenda Wakongwe Forum ndo sehemu ya kutupia tu matakataka 😀 😀 😀 😀 😀 😀
Sisi tunaiitaga DUSTBIN FORUM au VINGONGO FORUM ....Walijaribu kuiiga hii thread lakini ikafa kifo cha mende haina mvuto wala ubunifu ...kumjhaa tu makorokoro[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]kuna wakongwe forum pia aisee
Huyo upepo tu chali![]()
Kila sehemu naongozana na huyu Bodyguard wangu
Hivi hii thread yenu ili uwe mwanachama unalipaSisi tunaiitaga DUSTBIN FORUM au VINGONGO FORUM ....Walijaribu kuiiga hii thread lakini ikafa kifo cha mende haina mvuto wala ubunifu ...kumehaa ni makorokoro
Wakongwe Forum
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Sisi tunaiitaga DUSTBIN FORUM au VINGONGO FORUM ....Walijaribu kuiiga hii thread lakini ikafa kifo cha mende haina mvuto wala ubunifu ...kumjhaa tu makorokoro
Wakongwe Forum
Makapuku ForumHivi hii thread yenu ili uwe mwanachama unalipa
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji13] sielewiiiii[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
[emoji318] [emoji318] [emoji318] [emoji318] [emoji106]Makapuku Forum
Soma hapo....mbona una maswali ya kizushi jomba hii ni thread km zingine hapa Chitchat sema imebuniwa kijanja ndio maana inakimbiza na kutoisha utamu
Ww jamaan umeingia jf leo hivi utamlipa nan we ongea tuHivi hii thread yenu ili uwe mwanachama unalipa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Makapuku Forum
Soma hapo....mbona una maswali ya kizushi jomba hii ni thread km zingine hapa Chitchat sema imebuniwa kijanja ndio maana inakimbiza na kutoisha utamu
Ha ha ha ha si unajua tena me wa bushi na umri mdfo nomevamia[emoji124] [emoji124] [emoji124]Ww jamaan umeingia jf leo hivi utamlipa nan we ongea tu
Founder ni bitoz bali mleta uzi ni billy5[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]mnatupiana mpira
Acha tuSana siku tunaamka tunakuta jf hamna
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hapana mm sio mmakonde
Atakua u18 huyuMbona una swaga za kizushi km vipi nenda Wakongwe Forum ndo sehemu ya kutupia tu matakataka 😀 😀 😀 😀 😀 😀