Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,223
- 39,927
..its as true as Hell brother
So ukiambiwa uchague mwanamke/mke mwenye upendo wa dhati kwako au 1billion utachagua nini?More than true

So ukiambiwa uchague mwanamke/mke mwenye upendo wa dhati kwako au 1billion utachagua nini?

Nko Poa as wellNiko poa my friend, sijui weye
Morning liviMorning family
Niajeee mukongoGoodmorning jembe
Pesa sabuni ya rohoView attachment 446749 is it TRUE???
Morning shululuMorning livi
*Eti kuna mkaka alitembelewa na mama yake mzazi. Wakiwa sebuleni yeye, mama na mke wake, mke wake akaanza kuonekana tofauti kama vile anajiskia vibaya. Akaenda chumbani. Baada ya muda mfupi yule mkaka akamfuata. Wakakaa sana huko kisha mkaka akarudi sebuleni kuendelea kuongea na mama yake. Lakini zipu ya suruali yake ilikuwa wazi. Mama akamuuliza, mkeo anaendeleaje? Akamuambia, anajisikia vzr sasa. Nimempa panadol. Mama akatabasamu na kumwambia mwanaye, sawa. Lakini siku nyingine ukishatoa panadol ukumbuke kufunga pharmacy*

Poa engineer wanguNiajeee mukongo

Hatimae imekubali....shukrani kwenu wakuuImekubali sasa
hahahaha
Umetisha sanahahahaha
Wala ata kaka angu hanijui tunafananajeMfano unaangalia kipindi ambacho kipo live.
Au kuonana face to face