Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,625
Kaka mkubwa Bwana AsifiweSawa
Kaka mkubwa Bwana AsifiweSawa
Niajeee mkuuPambana utatukuta kapuku
Cc QuigleyNaona mleta magazeti ametusahau Siku hizi
Za mchana TetramelyzGood morning guyz
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mutu ya CongoGoodmorning Livi
Nambie engineer wanguMutu ya Congo
Kanga nazo zinakwenda kidijitali zaidi. Safi sana!
Poa...za sikuZa mchana Tetramelyz
We Mkongo sio mzima
Ila ww bado unaishi kicustomatyKanga nazo zinakwenda kidijitali zaidi. Safi sana!
Maisha ni maisha tu bana. Uishi ki-customaty (whatever that means) usiishi siku yako ikifika unavuta, wapendwa wako wanalia halafu wanakusahau, dunia inaendelea kujizungusha katika mhimili wake na kesho yake jua linachomoza na maisha yanaendelea....Ila ww bado unaishi kicustomaty
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
.......
Kweli aisee
Maisha ni maisha tu bana. Uishi ki-customaty (whatever that means) usiishi siku yako ikifika unavuta, wapendwa wako wanalia halafu wanakusahau, dunia inaendelea kujizungusha katika mhimili wake na kesho yake jua linachomoza na maisha yanaendelea....
Kutoka wapi?Nimerud
[emoji23] wazima wajaluoWe Mkongo sio mzima
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
............
Kweli mzee, unatakiwa uishi maisha ambayo unafurahia alimradi usijidhuru eg. kwa pombe mbaya, usiwe kero kwa watu au kuvunja sheria!!!
Maisha ni maisha tu bana. Uishi ki-customaty (whatever that means) usiishi siku yako ikifika unavuta, wapendwa wako wanalia halafu wanakusahau, dunia inaendelea kujizungusha katika mhimili wake na kesho yake jua linachomoza na maisha yanaendelea....
WelikamNimerud
Word!Kweli mzee, unatakiwa uishi maisha ambayo unafurahia alimradi usijidhuru eg. kwa pombe mbaya, usiwe kero kwa watu au kuvunja sheria!!!
Ukiwa na furaha mambo mengine huwa mepesi tu