frem zero
JF-Expert Member
- Jun 8, 2016
- 595
- 879
Tusubiri wajeHabari ya asubuhi wana wa forum makapuku nimesikia prime minister akisema sasa wanaanza kuziachia pesa alikua na maana gani
Tusubiri wajeHabari ya asubuhi wana wa forum makapuku nimesikia prime minister akisema sasa wanaanza kuziachia pesa alikua na maana gani
Kwema mkongo ...umeadimikaaaLivi niaje?
Njema mkuu. umeadimikaZa siku Nyingi kidogo?
Hawa jamaa wanazingua sana sasaSipati kabisa
Maisha tu. Vipi mishe lakini?Njema mkuu. umeadimika
ziko poa, tunamshukuru mungu zinasonga kimtindoMaisha tu. Vipi mishe lakini?
Jua Kali tuziko poa, tunamshukuru mungu zinasonga kimtindo
Mukongo vpLivi niaje?
Wanazingua sanaHawa jamaa wanazingua sana sasa
Mishughuliko ndugu yangu, mkulu kasema hakuna kula kijanjakijanja!Kwema mkongo ...umeadimikaaa

Poa Engineer wanguMukongo vp
.....mkulu anasema tuchape kazi.Inaumiza sana hii![]()
![]()
Tatizo lina muda sasa ila wapo kimyaWanazingua sana
Pambana utatukuta kapukuMpo?
Siku hizi mambo mengi....pia kuna ishu zinabana na changamoto mbili tatu hivyo msione kimya
Sijajua mwezi wa ngapi ndo nitarudi kuea free kujiachia hapa
..........
Nipo free week hiiPambana utatukuta kapuku
Mishughuliko ndugu yangu, mkulu kasema hakuna kula kijanjakijanja!![]()
