Makapuku Forum

Makapuku Forum

2011 - Gary Speed anafariki Dunia.

Alijinyonga baada ya kuandamwa na kashfa za Ushoga.

Mpaka mauti yanamfika alikuwa ni kocha wa timu ya taifa ya Wales.

Enzi zake za uchezaji alitamba sana na klabu ya Newcastle United.
Daah! Haka karoho ka ku-commit suicide kwanini kasiwaingia na wachezaji wengine wa EPL manake kuna story zilikuwa zina trend jana kuwa watavaa ribbon za kusupport LGBT
 
1480242338993.jpg
 
Sana, kuna story nyingi zinasemwa kuhusu kifo chake ila imebaki sintofahamu tu!!!

Mara mazoezi yalipita kiwango mishipa ikapasuka kwenye ubongo! Mara mamaster wa martial arts walimtumia mtu akampiga pigo fulani la kumzimisha!!! Mara wamarekani walimwondoa n.k n.k
Imebaki utata. Hata Brandon Lee ambaye ni mwanae wa kumzaa alipoenda Hong Kong kuchunguza kifo cha baba yake aliporudi alikufa kwa kupigwa risasi wakati wanaekti muvi ya The Crow.

Hivyo alikufa na siri yake moyoni maana hakuwahi kuweka wazi uchunguzi wake huo alioufanya.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom