Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
Watakuja wajuvi subiriAll Kapuku's
Naomba kujua hawa ISP tunaowalipa ili tupate huduma ya intaneti na wao wanazo satelaiti zao au hii ikoje?
Nawasilisha

MorningMorning family
Ahsante prf. Kwa magazeti asubuhi ya leoNawatakia usomaji mwema wa magazeti na muwe na weekend njema wote
Rest in peace comradeLeo tumepata msiba wa Komredi Fidel Castro. Kiongozi aliyekuwa na misimamo thabiti dhidi ya Marekani.
Mmoja kati ya Viongozi niliokuwa nawakubali kwa uongozi wake uliotukuka kwa taifa la Cuba ambaye alipambana na vibaraka wa kimarekani katika mapinduzi ya Cuba ya 1959.
Upumzike kwa amani Fidel Castro, wasalimie sana akina Camilo Cienfuegos, Ernesto Che Guevara na hata Huber Matos.
Hakika ametimiza ule msemo usemao, Utakumbukwa si kwa utajiri, sifa au mali ulizoacha bali ni jinsi gani maisha yako yaliwagusa watu.
Pumzika kwa amani Komredi Castro.
KaribuAhsante prf. Kwa magazeti asubuhi ya leo
Ahsante sanaNawatakia usomaji mwema wa magazeti na muwe na weekend njema wote
Watakuja wajuvi subiri
Morning liviMorning family
Asante kwa magazeti nawe pia weekend njemaNawatakia usomaji mwema wa magazeti na muwe na weekend njema wote
Mambo jerryMorning
Pumzika kwa amani CastroLeo tumepata msiba wa Komredi Fidel Castro. Kiongozi aliyekuwa na misimamo thabiti dhidi ya Marekani.
Mmoja kati ya Viongozi niliokuwa nawakubali kwa uongozi wake uliotukuka kwa taifa la Cuba ambaye alipambana na vibaraka wa kimarekani katika mapinduzi ya Cuba ya 1959.
Upumzike kwa amani Fidel Castro, wasalimie sana akina Camilo Cienfuegos, Ernesto Che Guevara na hata Huber Matos.
Hakika ametimiza ule msemo usemao, Utakumbukwa si kwa utajiri, sifa au mali ulizoacha bali ni jinsi gani maisha yako yaliwagusa watu.
Pumzika kwa amani Komredi Castro.
Asante, kazi/weekend njema kwakoAsante kwa magazeti nawe pia weekend njema
R.I.PLeo tumepata msiba wa Komredi Fidel Castro. Kiongozi aliyekuwa na misimamo thabiti dhidi ya Marekani.
Mmoja kati ya Viongozi niliokuwa nawakubali kwa uongozi wake uliotukuka kwa taifa la Cuba ambaye alipambana na vibaraka wa kimarekani katika mapinduzi ya Cuba ya 1959.
Upumzike kwa amani Fidel Castro, wasalimie sana akina Camilo Cienfuegos, Ernesto Che Guevara na hata Huber Matos.
Hakika ametimiza ule msemo usemao, Utakumbukwa si kwa utajiri, sifa au mali ulizoacha bali ni jinsi gani maisha yako yaliwagusa watu.
Pumzika kwa amani Komredi Castro.
Weekend iko poaaHabari za weekend makapuku wenzangu
Ziko poa kabisa, vp wewe kapukuHabari za weekend makapuku wenzangu
fresh tu mdauZiko poa kabisa, vp wewe kapuku
Poa shululu mambo ni vpMambo jerry
R. I. P komrediLeo tumepata msiba wa Komredi Fidel Castro. Kiongozi aliyekuwa na misimamo thabiti dhidi ya Marekani.