Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,268
AmenAsantee mkuu Quigley kwa magazeti ..baraka telèe na kwakoo piaa
AmenAsantee mkuu Quigley kwa magazeti ..baraka telèe na kwakoo piaa
Bado goli mbili ampite Sir Bobby Chalton awe mfungaji wa muda wote klabuni Man UtdHongera kwake Wayne Rooney
Hongera zakeBado goli mbili ampite Sir Bobby Chalton awe mfungaji wa muda wote klabuni Man Utd
.....
Asante![]()
![]()
![]()
![]()
Njooni Mabibo
.....
Jana alifunga?Hongera kwake Wayne Rooney
Na bench hili sasaBado goli mbili ampite Sir Bobby Chalton awe mfungaji wa muda wote klabuni Man Utd
.....
Goli mbili anaweza kufunga ht kwenye mechi 1 tu......ht asipopiga penalty, faulo n.kNa bench hili sasa
TrueGoli mbili anaweza kufunga ht kwenye mechi 1 tu......ht asipopiga penalty, faulo n.k
Benchi akae km kawa lakini siyo muda mrefu rekodi ataiweka na itadumu muda mrefu sana
Angekuwa "hahujumiwi" hiyo rekodi angeweka kitambo sana
....
Bila kusahau Timu ya TaifaPamoja na jitihada zote, bado Rooney aheshimiwi kama Legend mkubwa ndani ya OT.
He never get the credit he deserves.
Nami nakuona mkuu ukiwa unasoma kitabu kitakatifuNakuona mkuu
Nami nakuona mkuu ukiwa unasoma kitabu kitakatifu
Sent from my TECNO-J7 using JamiiForums mobile app

Kwenye michuano yote auBado goli mbili ampite Sir Bobby Chalton awe mfungaji wa muda wote klabuni Man Utd
.....
Umekosea
Next time nitapatiaUmekosea