shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,911
Heri kabisa, vp pande hizoNiko Poa mkuu shululu ...ulipo kuko salama ??
Heri kabisa, vp pande hizoNiko Poa mkuu shululu ...ulipo kuko salama ??
Asante kwa magazeti nawe pia siku njemaView attachment 439187wawatakia usomaji mwema wa magazeti na muwe na siku ya baraka
Nilipo foleni la ukwelii ..tazara na hii njia ilivyominywaa ofsini saa tatuHeri kabisa, vp pande hizo
Pole sana, uwe unawahi kutoka, mimi kila siku ifikapo saa 6:30 huwa nipo mjiniNilipo foleni la ukwelii ..tazara na hii njia ilivyominywaa ofsini saa tatu
Unajitahid sana mkuuPole sana, uwe unawahi kutoka, mimi kila siku ifikapo saa 6:30 huwa nipo mjini
Unaishi kipawa nini!Unajitahid sana mkuu
Mji wetu ni majanga sanaUnajitahid sana mkuu
Hiyo ni chanika kabisaUnaishi kipawa nini!
Chanika, hadi afike pugu kajiungeni amechelewa tayariHiyo ni chanika kabisa
Afadhali nimeachana na foleni za jijini kwa mudaMji wetu ni majanga sana
Uwe unaamka mapemaNilipo foleni la ukwelii ..tazara na hii njia ilivyominywaa ofsini saa tatu
Sawa mkuuNenda mabibo,ukiuliza tu unaoneshwa
Ahsante sanaView attachment 439187wawatakia usomaji mwema wa magazeti na muwe na siku ya baraka
Nawaona BVB wakitamba![]()
Team of the week
........
Hongera kwake Wayne Rooney![]()
Wafungaji wa muda wote Man Utd UEFA
....
Nakuona mkuuAhsante sana