Makapuku Forum

Makapuku Forum

1971 - Mtu aliyefahamika kama D.B. Cooper anateka ndegeya Northwest Airlines huko Marekani na kulazimisha kupewa kiasi cha Dola laki 200,000 kisha akaruka na parashuti kutoka angani.

D.B.Cooper hakuwahi kupatikana tena wala pesa alizoiba hazikuwahi kupatikana hata kwenye mzunguko wa pesa.

Licha ya msako mkali uliochukua takribani miaka 45, bado D.B.Cooper hajaonekana na wala hajulikani alipo.
 
1965 - Joseph Desire Mobutu anaingia Madarakani kama Rais wa nchi ya Zaire.
116094a8b3ba1c05d8c8b3b3f0983756.jpg
df183ab0f64396e4a2443b6aaca85bc9.jpg
ba7c3090c520e2dab1559550dd4774c7.jpg

Seseseko Kuku
......
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom