Iyegu
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 6,276
- 12,424
1968 - Kundi la muziki la The Beatles latoa albamu iliyoitwa The White Album.
1968 - Kundi la muziki la The Beatles latoa albamu iliyoitwa The White Album.
1975 - Juan Carlos anatangazwa kuwa Mfalme wa Spain kufatia kifo cha Dikteta Fransisco Franco.
1986 - Mike Tyson anampiga bondia Trevor Berbick na kuwa bondia mdogo zaidi kushinda taji la uzito wa juu.
1990 - Waziri Mkuu wa Uingereza, Margaret Thatcher anajiondoa kwenye uongozi wa chama chake cha Conservative hali inayopelekea kutochaguliwa kuwa Waziri Mkuu tena wa Nchi hiyo.
Bibi Thatcher alisifika kwa uongozi wake shupavu na hodari hali iliyomfanya kupachikwa jina la Iron Lady.
2005 - Angela Merkel anakuwa Chancellor wa kwanza mwanamke katika historia ya nchi ya Ujerumani.
1976 - Torsten Frings anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Werder Bremen, Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.
Alisifika sana kwa mashuti ya mbali.
1982 - Yakubu Aiyegbeni anazaliwa.
Ni straika wa zamani Portsmouth, Middlesbrough, Everton na timu ya taifa ya Nigeria.
Alikosa goli la wazi kwenye kombe la dunia mwaka 2010 akiwa yeye na goli tu.
Furesh Bablai, za Asubuhi?aje mkuu
Hawa si ndio walisema wao ni maarufu kuliko Jesus!!!1968 - Kundi la muziki la The Beatles latoa albamu iliyoitwa The White Album.
Mike Tyson kipaji kilichoisha kiajabu sana!
HBD Torsten1976 - Torsten Frings anazaliwa.
Kiungo wa zamani wa Werder Bremen, Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani.
Alisifika sana kwa mashuti ya mbali.