Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,224
- 39,937
HBD Yakubu1982 - Yakubu Aiyegbeni anazaliwa.
Ni straika wa zamani Portsmouth, Middlesbrough, Everton na timu ya taifa ya Nigeria.
Alikosa goli la wazi kwenye kombe la dunia mwaka 2010 akiwa yeye na goli tu.