Leo katika Historia:
1916 - Samuel Goldwyn na Edgar Selwyn wanaanzisha kampuni ya kurekodi filamu ya Goldwyn Pictures.
Kampuni hiyo maarufu baadae ilikuja kujulikana kama Metro- Goldwyn- Meyer ( MGM ).
1942 - Mutesa II anaapishwa kuwa Kabaka wa 35 ( Mfalme ) wa mwisho wa iliyokuwa Buganda Kingdom.
1943 - Katika Gereza la mateso la Janowska huko magharibi mwa Ukraine, Jeshi la Nazi laua Wayahudi takribani 6000 baada ya Jaribio la kutoroka kushindikana.
1965 - Laurent Blanc anazaliwa.
Beki wa zamani wa Barcelona, Inter Milan, Man Utd na timu ya taifa ya Ufaransa.
Alitwaa kombe la Dunia mwaka 1998 na Kombe la Ulaya mwaka 2000 akiwa na kikosi cha dhahabu cha Ufaransa kilichoingozwa na fundi Zidane. Aliunda safu kali ya ulinzi akiwa na Marcel Desailly na Bixente Lizarazu.
Alikuwa na kipara, kabla ya mechi kipa Fabien Barthez alikuwa lazima akibusu kipara cha Blanc.
Asante sana diktetaLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Makapuku members muwe na siku njema.
Tukutane baadaye wakati wa mechiLeo katika Historia:
Kwa udhamini mnono wa Makapuku members muwe na siku njema.
Leo ni Leo, bahati mbaya sitaziona hizi gameLeo ni Super Saturday.
• Man Utd Vs Arsenal
• Bayern Munich Vs Dortmund
• Inter Milan Vs Ac Milan
Yamebaki masaa 2 nianze kujisogeza kwenye kibanda umiza mdogo mdogoTukutane baadaye wakati wa mechi
Nawajibika now
Don't miss !!!!
Manyumbu Utd v ArsayNO The Mandaz
SAA 8:30
...........
La Liga mbona inaoneshwa AzamTvRATIBA YANGU YA FUTIBOLI LEO
saa 9:30 naenda kucheki mechi ya Man U Vs Aseno(kupitia channel ya super sport Dstv)
Saa 12:00 nitakuwa kwangu naangalia mechi ya majogoovs Southampton(hapa nmesevu jero kulipia kibanda umiza)
Saa 2:00 usiku mechi kati ya Bayern vs Dortmund hii match ntaangalia kwangu kupitia channel ya world football Startime(hapa pia nasevu jero langu)
Saa 4:45 usiku mechi kati ya real Madrid vs atletico madrid, hii itanilazimu pia kwenda kibanda umiza maana sina mkwanja wa kumiliki Dstv
Nb: leo nitatumia buku tu uangalia mechi 4 mfululizo
Ndio, natumia kaantenaLa Liga mbona inaoneshwa AzamTv
Si useme unamiliki kaantena ka StarTimes
.........
Sasa we maskini usitupigie kelele
........
Ndo naingia bafu letu la passport size kujimwagia maji zen SAA 8:30 nawahi siti kibandanisawa, ipo siku na mimi nitanunua
Katuni pendwa
Inazalisha pia filamu za Tom and Jerry
......
pamoja kiongoziAsante sana dikteta