Makapuku Forum

Makapuku Forum

1985 - Rais Mikhail Gorbachev wa USSR anakutana na Rais Ronald Reagan wa Marekani huko Geneva, Uswizi kujadili mustakabali wa vita baridi.

Gorbachev anashukiwa kuwa ni Rais aliyewekwa madarakani na CIA na alitumwa kuivunja USSR kazi ambayo aliifanikisha vyema.
Alifanikiwa sana kuvunja hiyo USSR
 
1942 - Calvin Klein anazaliwa.

Ni mbunifu wa mavazi toka nchini Marekani.

Ndio mwasisi wa kampuni ya mavazi ya Calvin Klein Inc.
95406cba50a7ec35ad3e674ec8a33e20.jpg
2db677f79d4bbf29a1e3fd3222189be3.jpg
f63ec30e60454d57562ae96f761d5271.jpg
Ana jinsia ya Kaoge
.....
 
1965 - Laurent Blanc anazaliwa.

Beki wa zamani wa Barcelona, Inter Milan, Man Utd na timu ya taifa ya Ufaransa.

Alitwaa kombe la Dunia mwaka 1998 na Kombe la Ulaya mwaka 2000 akiwa na kikosi cha dhahabu cha Ufaransa kilichoingozwa na fundi Zidane. Aliunda safu kali ya ulinzi akiwa na Marcel Desailly na Bixente Lizarazu.

Alikuwa na kipara, kabla ya mechi kipa Fabien Barthez alikuwa lazima akibusu kipara cha Blanc.
Hii imani ya kubusu kipara, ndio ilimfanya Alex amsajili Blanc
 
Kwa nini Wayahudi waliuwawa sana miaka ya nyuma, nini kilisababisha?
Ukirejea kwenye historia, tunaambiwa Hitler baada ya kuingia madarakani soon baada ya kuisha kwa vita kuu ya kwanza ya Dunia aliamini Ujerumani ilisalitiwa sana na Wayahudi waliokuwa nchini humo hivyo yeye akawa na chuki nao.
 
1969 - Edson Arantes Dos Nascimento " Pele " anafunga goki lake la 1000 toka aanze kucheza soka.

Pele staa huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil anatajwa kama mchezaji bora wa wakati wote na anashikilia rekodi mbalimbali ikiwemo;

• Kufunga magoli 1000 katika career yake ya kucheza soka.

•Kuchukua Kombe la Dunia akiwa ndio mchezaji mwenye Umri mdogo zaidi wa miaka 17.

•Mchezaji pekee kuchukua kombe la Dunia mara tatu, mwaka 1958 pale Sweden, 1962 pale Chile na mwaka 1970 pale Mexico.
ffb5719152351f79d1057cdacadb27b6.jpg
922f74b76fdd1689d3095d24c9f432ee.jpg
8cc836864d75ebd125be8c5b4f53c6ae.jpg
 
1950 - Jenerali Dwight D. Eisenhower wa Jeshi la Marekani anachaguliwa kuwa Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Majeshi ya Nato huko Ulaya. Kabla ya Uteuzi huo, alikuwa ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Marekani.

Jenerali Eisenhower anafanya kazi nzuri katika majukumu yake hayo ndani ya Nato hali iliyopelekea baadae kuja kuwa Rais wa Marekani.
d63823607c134192f1a5e1732b5db593.jpg
5db53f7272322d8dab221ea21320f4b7.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom