Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,228
- 68,246
Ni saa 9:30Tukutane baadaye wakati wa mechi
Nawajibika now
Don't miss !!!!
Manyumbu Utd v ArsayNO The Mandaz
SAA 8:30
![]()
![]()
![]()
...........
Ni saa 9:30Tukutane baadaye wakati wa mechi
Nawajibika now
Don't miss !!!!
Manyumbu Utd v ArsayNO The Mandaz
SAA 8:30
![]()
![]()
![]()
...........
Pole sanaLeo ni Leo, bahati mbaya sitaziona hizi game
Zamani mapambano ya ndondi yalikuwa yanafanyika kwenye ukimbi wa MGMKatuni pendwa
Naona hizi team mbili leo zinacheza formation moja
Hakuna uhusiano wowote mkuu.Zamani mapambano ya ndondi yalikuwa yanafanyika kwenye ukimbi wa MGM
Je kuna uhusiano na hiyo kampuni?
....
Haya. Na kwako piaNawatakieni nyote usiku mwema
AminaaaaaaWale wa kuabudu siku ya leo tusiache kuabudu
Morning mzeeMorning family
HakikaMungu ni mwema kila wakati, tumepewa siku nyingine tena
AsanteWote tuseme asante kwa siku hii