Alifanikiwa sana kuvunja hiyo USSR1985 - Rais Mikhail Gorbachev wa USSR anakutana na Rais Ronald Reagan wa Marekani huko Geneva, Uswizi kujadili mustakabali wa vita baridi.
Gorbachev anashukiwa kuwa ni Rais aliyewekwa madarakani na CIA na alitumwa kuivunja USSR kazi ambayo aliifanikisha vyema.
1942 - Calvin Klein anazaliwa.
Ni mbunifu wa mavazi toka nchini Marekani.
Ndio mwasisi wa kampuni ya mavazi ya Calvin Klein Inc.
Kati ya mtamgazaji bora kabisa na amefanya mahojiano na karibu watu wote maarufu Duniani1933 - Larry King anazaliwa.
Ni mwandishi mashuhuri na mkongwe anayefanya kazi katika kituo cha CNN huko Marekani.
Moja kati ya vipindi vyake ni Larry King Live.
Hii imani ya kubusu kipara, ndio ilimfanya Alex amsajili Blanc1965 - Laurent Blanc anazaliwa.
Beki wa zamani wa Barcelona, Inter Milan, Man Utd na timu ya taifa ya Ufaransa.
Alitwaa kombe la Dunia mwaka 1998 na Kombe la Ulaya mwaka 2000 akiwa na kikosi cha dhahabu cha Ufaransa kilichoingozwa na fundi Zidane. Aliunda safu kali ya ulinzi akiwa na Marcel Desailly na Bixente Lizarazu.
Alikuwa na kipara, kabla ya mechi kipa Fabien Barthez alikuwa lazima akibusu kipara cha Blanc.
1998 - Bunge la Marekani laanza kusikiliza kashfa iliyomkumba Rais wa wakati huo wa Marekani Bill Clinton ya kutoka kimapenzi na Secretary wake Monica Lewinsky.
Alfred Masako anamuiga kuvaa Suspender
1985 - Rais Mikhail Gorbachev wa USSR anakutana na Rais Ronald Reagan wa Marekani huko Geneva, Uswizi kujadili mustakabali wa vita baridi.
Gorbachev anashukiwa kuwa ni Rais aliyewekwa madarakani na CIA na alitumwa kuivunja USSR kazi ambayo aliifanikisha vyema.
Ukirejea kwenye historia, tunaambiwa Hitler baada ya kuingia madarakani soon baada ya kuisha kwa vita kuu ya kwanza ya Dunia aliamini Ujerumani ilisalitiwa sana na Wayahudi waliokuwa nchini humo hivyo yeye akawa na chuki nao.Kwa nini Wayahudi waliuwawa sana miaka ya nyuma, nini kilisababisha?
Warusi hawamsahauAlifanikiwa sana kuvunja hiyo USSR
Yuko vizuri sana. Huku kwetu tuna makanjanja tu.Kati ya mtamgazaji bora kabisa na amefanya mahojiano na karibu watu wote maarufu Duniani
Mi hizo pia ndo anga zanguTunajipanga vzr kutokea uku ili tukipelekwa mahakamani tuwe fiti
Lakini haikufanya kazi OT.Hii imani ya kubusu kipara, ndio ilimfanya Alex amsajili Blanc
1969 - Edson Arantes Dos Nascimento " Pele " anafunga goki lake la 1000 toka aanze kucheza soka.
Pele staa huyo wa zamani wa timu ya taifa ya Brazil anatajwa kama mchezaji bora wa wakati wote na anashikilia rekodi mbalimbali ikiwemo;
• Kufunga magoli 1000 katika career yake ya kucheza soka.
•Kuchukua Kombe la Dunia akiwa ndio mchezaji mwenye Umri mdogo zaidi wa miaka 17.
•Mchezaji pekee kuchukua kombe la Dunia mara tatu, mwaka 1958 pale Sweden, 1962 pale Chile na mwaka 1970 pale Mexico.
1950 - Jenerali Dwight D. Eisenhower wa Jeshi la Marekani anachaguliwa kuwa Kamanda Mkuu wa Vikosi vya Majeshi ya Nato huko Ulaya. Kabla ya Uteuzi huo, alikuwa ni Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Marekani.
Jenerali Eisenhower anafanya kazi nzuri katika majukumu yake hayo ndani ya Nato hali iliyopelekea baadae kuja kuwa Rais wa Marekani.
1946 - Nchi za Sweden, Iceland na Afghanstan zajiunga na Umoja wa Mataifa.
Umoja wa Mataifa ulianzishwa mapema tu baada ya kumalizika kwa vita kuu ya pili ya Dunia, ukiwa na jukumu la kusimamia amani na usalama Duniani.